tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post10672844148725682..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: MAHINDI NA MPUNGA KIPI KINA FAIDA ZAIDIBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-72651642654521694162013-10-22T14:41:56.974+03:002013-10-22T14:41:56.974+03:00kwa kutumia mbolea ya kemikali kwa ecta unapata ...kwa kutumia mbolea ya kemikali kwa ecta unapata magunia mangapi?<br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16676416595085785608noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-80379460820439376342013-10-22T14:41:55.183+03:002013-10-22T14:41:55.183+03:00kwa kutumia mbolea ya kemikali kwa ecta unapata ...kwa kutumia mbolea ya kemikali kwa ecta unapata magunia mangapi?<br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16676416595085785608noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-32469768180617893302009-11-25T19:54:36.059+03:002009-11-25T19:54:36.059+03:00Mahindi kwa sababu yanatupatia ugali na mimi kama ...Mahindi kwa sababu yanatupatia ugali na mimi kama Msukuma bila ugali maisha hayaendi!<br /><br />Kila zao lina faida yake kulingana na hali ya hewa, mahitaji na matarajio ya mkulima. Kwa uzoefu wangu mpunga una kazi nyingi zaidi kuliko mahindi. Nilikuwa nachukia sana kupalilia mpunga kwenye tope na wakati mwingine kwenye maji mpaka magotini. Mahindi haya adha hiyo.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-64294008642161009432009-11-25T10:09:11.794+03:002009-11-25T10:09:11.794+03:00Nakubali kwamba mbunga una faida zaidi, kwasababu ...Nakubali kwamba mbunga una faida zaidi, kwasababu ni chakula kinacho pendwa na wengi, na haswa watu wa zanzibar.burejhttps://www.blogger.com/profile/07152044084910733157noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-60200242118711382942009-11-23T15:18:35.780+03:002009-11-23T15:18:35.780+03:00ina tegemea na matumizi yake, hasa kwa vile kuna n...ina tegemea na matumizi yake, hasa kwa vile kuna nchi zinazo tengeneza magari yanayo tumia mafuta ya mahindimumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-65307193296763458772009-11-21T12:21:17.469+03:002009-11-21T12:21:17.469+03:00Vyote vina faida hamna tofauti.Vyote vina faida hamna tofauti.Born 2 Sufferhttp://www.borntosuffer1.blogspot.comnoreply@blogger.com