tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post1673329946915177903..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: UFUGAJI WA NGURUWE - SEHEMU YA PILIBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-5828655834068405182019-05-27T12:25:53.346+03:002019-05-27T12:25:53.346+03:00Naomba kuuliza hivi sababu zinazopelekea watoto wa...Naomba kuuliza hivi sababu zinazopelekea watoto wa nguruwe kufia tumboni kwa mama yao ni mini? Maana nguruwe wangu kazaa watoto kumi wawili wazima nane wametoka wamekufa tayari tumboni kwa mamayao.naomba msaada je tatizo ni mini?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/02901990612005953218noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-41815412541262254772013-08-11T18:10:45.949+03:002013-08-11T18:10:45.949+03:00MR ELIMU YAKO NIME IKUBALI NAHITAJI KUJUA KUHUSU A...MR ELIMU YAKO NIME IKUBALI NAHITAJI KUJUA KUHUSU AINA ZA VYAKULA VYA NGURUWE.<br /><br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01936610333727796227noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-16202428712990022032012-04-02T11:09:21.514+03:002012-04-02T11:09:21.514+03:00Nguruwe wadogo huachishwa kunyonya wakiwa na umri ...Nguruwe wadogo huachishwa kunyonya wakiwa na umri wa miezi miwili hivi( siku hasini na sita 56 )masomoshttps://www.blogger.com/profile/10725861034617807199noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-63747862578215137482012-01-04T09:32:56.743+03:002012-01-04T09:32:56.743+03:00Asante sana. Hivi kwa nguruwe wadogo wanatakiwa ku...Asante sana. Hivi kwa nguruwe wadogo wanatakiwa kuachishwa kunyonya wakiwa na umri gani?Our Tanzaniahttps://www.blogger.com/profile/13558918365695609405noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-39590519166344418302010-10-23T17:06:06.013+03:002010-10-23T17:06:06.013+03:00Nimependa sana hii blog yako. Sikuwahi kufikiri ku...Nimependa sana hii blog yako. Sikuwahi kufikiri kuwa naweza pata blog ya kiswahili inayotoa mafunzo ya jinsi ya kufuga nguruwe. Hongera sana, unafanya kazi nzuriElibarikinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-12361502907070189562009-09-29T17:30:22.133+03:002009-09-29T17:30:22.133+03:00Ni kweli kila mtu ana itikadi yake na mapenzi yake...Ni kweli kila mtu ana itikadi yake na mapenzi yake, lakini kwangu mimi wanyama wote ni sawa kwani hata kwenye ilani ya KILIMO KWANZA inayosimamiwa na Raisi Nguruwe pia wapoBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-20964484182287810792009-09-28T15:01:14.869+03:002009-09-28T15:01:14.869+03:00asante mkuu. ninaprint sasa hivi. naona wengine wa...asante mkuu. ninaprint sasa hivi. naona wengine wameanza kuosha vinywa, ntakuwa nakusumbua kwa maswali mengineJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-15717434945374432792009-09-26T19:12:08.844+03:002009-09-26T19:12:08.844+03:00Umenikumbusha mbali mpaka Peramiho kule kuna nguru...Umenikumbusha mbali mpaka Peramiho kule kuna nguruwe wengi wa ufugaji boraYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com