tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post1780878763712454867..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: MGENIBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-24882319160895479332011-05-22T04:27:24.486+03:002011-05-22T04:27:24.486+03:00Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe
...Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

nimekuwa nafuatilia threads zinazohusu kilimo na kuvutiwa na jinsi mnavyochangia-mfano Elnino na Malila na members wengine. naomba kuuliza kama nitaamua kulima MITIKI (teak wood). Sasa naomba mwenye utaalamu anisaidie kunielewesha yafuatayo:

1. Je unapotaka kupanda mitiki je mbegu zinauzwa wapi?
2. Je mbegu unazipanda kwenye vimfuko vidogovidogo na udongo wake (i.e kitalu). je mche unapotolewa kwenye kitalu unaupanda moja kwa moja shambani au kuna process nyingine?- i.e. yaani namaanisha hatua (steps) za kutoa kwenye kitalu kwenda shambani
3. Je unatakiwa kuweka umbali gani kati ya mtiki/mche mmoja na mwingine kama unataka ikue kwa ajili ya mbao.. na je spacing ni kiasi gani kama unataka ikue na uvune kama milingoti
4. Je kwenye ekari moja unaweza kupanda miche mingapi?
5. Je KIWASTANI inachukua miaka mingapi mpaka uvune kupata mbao na pili kupata milingoti
6. Je kuna paper au website ninayoweza kupata maelezo zaidi?

nitashukuru sana kwa mwenye kufahamu kunipa maelezo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-88621361469701669702009-11-23T08:16:48.846+03:002009-11-23T08:16:48.846+03:00Kaka Bennet asante sana kwa darasa ngoja na mie ni...Kaka Bennet asante sana kwa darasa ngoja na mie nijapange vizuri mwakani nitakutafuta, bado naendelea kula shule hapa, ninaprint na kuzisomea home. Endelea na moyo huu.Ebenezer Farm https://www.blogger.com/profile/11747836159506962649noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-51609481947400291222009-06-19T17:26:19.722+03:002009-06-19T17:26:19.722+03:00Nashukuru kwa ushauri wako,nategemea kwenda shamba...Nashukuru kwa ushauri wako,nategemea kwenda shamba kesho jumamosi nitajitahidi kufanya shughuli ya kutoe maoteo yote kwene mitiki kama ulivyonishauri! Thanks a lot!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-43845716895041903312009-06-19T07:32:13.425+03:002009-06-19T07:32:13.425+03:00Anonymous mitiki ni lazima ipunguziwe ili ubakie m...Anonymous mitiki ni lazima ipunguziwe ili ubakie mti mmoja unaofaa kwa mbao ambao lazima unyooke, punguzia matawi yote kasoro yale ya juu juu tuBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-74555662823380854222009-06-17T14:35:12.586+03:002009-06-17T14:35:12.586+03:00hongera kwa blog nzuri.Mimi nimepanda mitiki kama ...hongera kwa blog nzuri.Mimi nimepanda mitiki kama heka moja hivi maeneo ya zinga kule Bagamoyo,sasa nauliza hii miti huwa inakuwapruned au vipi maana mingine naona inatoa watoto pepeni je niitolee! mimi sina utaalaum wowote na ni binti aged 28yrs!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-88970854287813969892009-05-25T21:01:13.429+03:002009-05-25T21:01:13.429+03:00Hello Kaka,
Nimefurahi na nimekubali, kazi nzuri ...Hello Kaka,

Nimefurahi na nimekubali, kazi nzuri naamini nami nikija nitakuwa mgeni wako.

Hiyo miti ina miaka mingapi?
Naomba kujuaLazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-56989440219952236552009-05-08T14:10:00.000+03:002009-05-08T14:10:00.000+03:00Oh kumbe Asante sana halafu nilipokuwa nyumbani ni...Oh kumbe Asante sana halafu nilipokuwa nyumbani nilliipanda hiyo mitiki/Teak = misoji mingi tu natumaini haijafa.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-67454803797872675202009-05-08T12:23:00.000+03:002009-05-08T12:23:00.000+03:00Neno mitiki linatokana na jina la kiingereza la hu...Neno mitiki linatokana na jina la kiingereza la huo mti yaani TEAK (tectona grandis), kwa hiyo na sisi tukaiita hiyo miti mitiki, lakini sasa hivi baraza la Kiswahili wametoa jina la kibantu na kuiita hii miti MISOJI kwa hiyo TEAK (mitiki) = MISOJIBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-17433760371867072712009-05-08T11:28:00.000+03:002009-05-08T11:28:00.000+03:00Kaka Bennet kumbe we mtaalam sana wa mambo haya. H...Kaka Bennet kumbe we mtaalam sana wa mambo haya. Hongera SANA. Mi nina swali neno MITIKI linamaanisha nini?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com