tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post2936117178493138905..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: UFUGAJI WA NGURUWE - SEHEMU YA KWANZABennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-49511496578081131662020-07-06T23:28:57.894+03:002020-07-06T23:28:57.894+03:00Mkuu nimeipenda sana hii elimu kama kuna mafundsho...Mkuu nimeipenda sana hii elimu kama kuna mafundsho huwa yanatolewa basi naomba uniunge namm kwan natamani sana niwe mfugaji bora.<br />Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17938473018453242358noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-69026462593572411082020-01-10T20:06:10.475+03:002020-01-10T20:06:10.475+03:00Big up mkuu mwenyewe nimepata Eneo la kulima naomb...Big up mkuu mwenyewe nimepata Eneo la kulima naomba mawasiliano yako mkuuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10449679965156679810noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-71799665468183871872016-06-23T08:04:06.200+03:002016-06-23T08:04:06.200+03:00Asante kwa ushauri.Asante kwa ushauri.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01982681173895781502noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-78162843475222099142014-10-01T22:57:45.441+03:002014-10-01T22:57:45.441+03:00kwenye kutafuta pesa hakuna dini jaman kama hauta...kwenye kutafuta pesa hakuna dini jaman kama hautaki pitakuleee kaka mbona kuna vitu vingi tuuu .......Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17048739747524688024noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-73142579902013690152012-05-15T11:07:19.238+03:002012-05-15T11:07:19.238+03:00Huyu Jamaa anajifanya analeta udini wakati hijui d...Huyu Jamaa anajifanya analeta udini wakati hijui dini. Namshauri aende Misri akajifunze dini halafu ataelimishwa kwa nini Misri ni nchi ya Kiislsmu lakini ni kati ya nchi duniani zinazoongoza kufuga nguruwe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-91165226611796829162012-04-02T11:00:49.785+03:002012-04-02T11:00:49.785+03:00Hongera kwa hi blog yako. Ningetaka kuongeza jambo...Hongera kwa hi blog yako. Ningetaka kuongeza jambo kuhusu nguruwe.Nikianzia na Large white ningetaka kusema nguruwe jike yaani mama amedhibitishwa kuwa ni mtunzi bora ukilinganisha na Landrace ambaye hajali sana watoto wake ingwawa anazaa watoto wengi hadi kumi na wanee.Kwa hivyo ningewashauri wakulima wafanye 'cross' ya hawa aina ya nguruwe.masomoshttps://www.blogger.com/profile/10725861034617807199noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-59020872720547600452011-10-05T17:28:29.289+03:002011-10-05T17:28:29.289+03:00Kaka kwanza hongera kwa uliyoyafany. Mi ni mwanaha...Kaka kwanza hongera kwa uliyoyafany. Mi ni mwanaharakati mwenzio kwenye kilimo na ufugaji. Nimejiajiri toka nilipo maliza chuo cha kilimo SUA. Beliv me Nakupongeza kwan najua umuhimu wa unacho fanya. Tumaini Mtei wa Dodoma(aka Mkulima)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-74382312662707580542011-06-07T12:52:26.214+03:002011-06-07T12:52:26.214+03:00Huyu jamaa analeta udini kwenye kutafuta pesa. Hay...Huyu jamaa analeta udini kwenye kutafuta pesa. Hayo ni mawazo finyu sana ndo maana Wa Tz wengi tunakuwa maskini kwaajili ya kuzingatia hizi kasumba chafu tulizoletewa na wakoloni wa Kiarabu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-52443255294854571022011-05-17T10:39:25.882+03:002011-05-17T10:39:25.882+03:00huyu wa kwanza anajua watuwote tuko kama yeye!!! w...huyu wa kwanza anajua watuwote tuko kama yeye!!! we kijana hacha sisi tunaopiga hii kitu tuache tupate elim, we kaa na ushamba wako!!!!!!! na namshkru sana hall, aliposema na wengine wapungue ili tupate nyama nyingi ebu cheki sasa hivi kilo 7000, nyama gani hapa nchini inauzwa hivyo,lete kimooooooooooootooooooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-54152548876734140982010-06-21T09:39:18.627+03:002010-06-21T09:39:18.627+03:00Tunaomba Elimu Mheshimiwa, Huyu Jamaa anayeona kuw...Tunaomba Elimu Mheshimiwa, Huyu Jamaa anayeona kuwa unachafua blog,yeye inamkera nini? ajue tu ametawaliwa na imani aliyoletewa na Waarabu ambao waliwatesa ndugu zetu waliwafanyia mambo mabaya dada zetu na wanaume wengine.Namwomba aelewe mtazamo wake asiradhimishe wengine.Tunaomba Elimu Ndugu.Hallhttps://www.blogger.com/profile/10857587611357173970noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-62059712793114865182009-09-29T17:33:51.363+03:002009-09-29T17:33:51.363+03:00Samahani Anony wa kwanza kama nimekukera nilichofa...Samahani Anony wa kwanza kama nimekukera nilichofanya mimi ni kukidhi matakwa ya wasomaji wangu, kama na wewe unahitaji kufahamu kitu basi usisite kuwasiliana nami<br />Natanguliza shukurani zanguBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-26857356529458275852009-09-29T13:10:06.167+03:002009-09-29T13:10:06.167+03:00hii ndio yenyewe. viumbe hawa watamu balaa. tunaom...hii ndio yenyewe. viumbe hawa watamu balaa. tunaomba idadi ya wasiokula iongezeke ili tufaidi wachache. aliyelala usimwamshe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-42912424346399402462009-09-26T06:53:37.269+03:002009-09-26T06:53:37.269+03:00Ndugu umekosa mada ya kutuwekea ila hawa wanyama w...Ndugu umekosa mada ya kutuwekea ila hawa wanyama wachafu, nani anataka kufuga kama hawa elezea kuhusu kufuga ngombe na mbuzi, umechafua blog yako.Anonymousnoreply@blogger.com