tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post5056436043118171533..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: MAZIWA YA NGAMIA NA KISUKARIBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-78663827816552729722009-07-02T19:40:23.912+03:002009-07-02T19:40:23.912+03:00Thanks Bennet,maziwa niliyapata japo kwa mbinde sa...Thanks Bennet,maziwa niliyapata japo kwa mbinde sana,kuna foleni yaani yanagombaniwa sana.Mungu akubariki sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-9658701060629771542009-06-26T15:20:23.389+03:002009-06-26T15:20:23.389+03:00Thanks for the info. niko Dar nitaenda kesho jumam...Thanks for the info. niko Dar nitaenda kesho jumamosi kuangalia kama ntayakuta!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-87433780697383221262009-06-23T18:35:32.069+03:002009-06-23T18:35:32.069+03:00Anonymous June 23 kama uko Dar nenda ilala mtaa wa...Anonymous June 23 kama uko Dar nenda ilala mtaa wa Lindi ulizia msikiti wa makuti kuna duka la maziwa utapata maziwa hayaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-49079104518031830552009-06-23T08:51:17.487+03:002009-06-23T08:51:17.487+03:00Haya maziwa ya Ngamia hapa Tz Yanapatikana wapi? M...Haya maziwa ya Ngamia hapa Tz Yanapatikana wapi? Mie niko Dar naweza kuyapata pia?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-76472006053595398582009-06-19T06:58:27.861+03:002009-06-19T06:58:27.861+03:00Aksanteni sana kwa mchango wenu, Anonymous mimi hu...Aksanteni sana kwa mchango wenu, Anonymous mimi huwa siweki kitu kwa sababu nimesikia au nimesoma sehemu ila ukiona nimeweka kitu ujue nimekifanyia majaribio na nikahakikisha mimi mwenyewe au nimepata maelezo ya kina toka kwa wahusika<br />Chib ni kweli maziwa ya mbuzi pia ni dawa kama yalivyo ya ngamia sema ya mbuzi hayafikii ubora wa maziwa ya ngamia<br />Mumyheri naandaa makala kuhusu maziwa ya mbuzi, juzi nilikuwa Kibamba kwa mfugaji mmoja na nikapata maelezo ya kina, nasubiri kuyathibitisha halafu nitachapishaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-54880692419999834192009-06-17T19:49:32.573+03:002009-06-17T19:49:32.573+03:00ndugu yangu tupe na maelezo ya ng'ombe na mbuz...ndugu yangu tupe na maelezo ya ng'ombe na mbuzi kwani hao ni rahisi kupatikana bongo lakini Ngamia tena ndugu yangu huo mtihanimumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-31384517580340290572009-06-17T15:18:41.769+03:002009-06-17T15:18:41.769+03:00Nasikia na maziwa ya mbuzi ni dawa! Vipi hayana vi...Nasikia na maziwa ya mbuzi ni dawa! Vipi hayana virutubisho kama ya ngamia?chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-37513157042037819052009-06-17T14:03:35.221+03:002009-06-17T14:03:35.221+03:00mbona sasa hutuwekei posts zinazohusu madawa yatok...mbona sasa hutuwekei posts zinazohusu madawa yatokanayo na miti/matunda/mbegu(natural herbs)nafuatilia karibu kila posts ila sijaona!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-55122805788814652962009-06-13T19:35:43.142+03:002009-06-13T19:35:43.142+03:00Itabidi tuhamia kwenye nchi hizo wanazofuga Ngamia...Itabidi tuhamia kwenye nchi hizo wanazofuga Ngamia kama vile Saudi arabia nk. Asante kwa hili, Kaka Benet fungua hospital.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com