tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post5554802442878468334..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: BIO -GAS / HEWA VUNDEBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-82348757514715985882010-08-09T18:31:01.017+03:002010-08-09T18:31:01.017+03:00Shukrani kwa kunifungua macho.
Swali dogo,
Wanahit...Shukrani kwa kunifungua macho.
Swali dogo,
Wanahitajika ngombe wangapi ili kupata gesi ya kukidhi mahitaji ya familia ya watu wanne?
Natanguliza shukrani.

PKaberwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-16322230907159856472010-05-30T15:49:41.968+03:002010-05-30T15:49:41.968+03:00Kaka Bennet, nashukuru kwa elimu hii nzuri.
Kwa ...Kaka Bennet, nashukuru kwa elimu hii nzuri.

Kwa wastani, mfumo huu mzima unaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Bila shaka, wataalamu wanatakiwa, katika eneo langu nitawezaje kuwapata wataalamu?
Nashukuru ndugu Bennet.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-25656004333744130372010-05-30T09:57:34.467+03:002010-05-30T09:57:34.467+03:00We jamaa ni noma maana naona umekamilika kila idar...We jamaa ni noma maana naona umekamilika kila idara ya mkulima, hongera sanaAnonymousnoreply@blogger.com