tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post603674214063330606..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: KILIMO KWANZABennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-86361866161851848242009-11-19T11:05:16.424+03:002009-11-19T11:05:16.424+03:00Asante sana Bennet, kwakweli blog yako inaelimisha...Asante sana Bennet, kwakweli blog yako inaelimisha, nami naunga mkono maoni yako ya kilimo kwanza. Inatupasa watanzania tujue kuwa kila kitu sasa hivi kinaenda kwa technologia, hivyo serikali inapotuhamasisha sio kuitoa kibanzi kuwa mkulima mdogo hataweza, wewe anza kama una nia na kwakushirikiana tutadai kusaidiwa kwa mafunzo, mikopo inapobidi, lakini anza wewe.Ebenezer Farm https://www.blogger.com/profile/11747836159506962649noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-38431536777439712142009-09-25T15:23:03.633+03:002009-09-25T15:23:03.633+03:00Bennet pengine hii isihusiane moja kwa moja na pos...Bennet pengine hii isihusiane moja kwa moja na post hii. namomba miongozo ya ufugaji bora wa nguruwe na kuku wa kisasa wa mayai. nataka kujua namna ya kuwalisha na kuwanenepesha, yaani michanganyiko ya vyakula na vyakula vyenyewe.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-47205381967221348862009-09-24T09:51:36.717+03:002009-09-24T09:51:36.717+03:00Kilimo chetu inabidi kibadilike kutoka kwa wakulim...Kilimo chetu inabidi kibadilike kutoka kwa wakulima wadogo wadogo mpaka angalau wakulima wa kati na hata jembe la mkono inabidi tuachane nalo na kuhamia kwenye wanyama kazi na matreka<br />Wakulima pia wanahitaji ujuzi wa kuanzia mbegu gani watumie kwa sababu kila mbegu inayozalishwa huwa inahitaji mazingira fulani kama hali ya joto, mvua na udongo wa aina fulani<br />Pia matumizi halisi ya mbolea na dawa za kuuliwa wadudu waharibifu kutokana na mahitaji ya zao na sehemu husika<br />Tunahitaji kilimo cha umwagiliaji ili kuweza kuzalisha chakula mwaka mzima na kuacha utegemezi mvua za msimu peke yake<br />Kwenye mifugo tunahitaji mbegu bora na kinga za magonjwa mbali mbali na hii inatakiwa kuanzia kwa wanyama pori mbugani kwa sababu wao ndio wanaobeba magonjwa mengi ya mifugo (carriers) mashamba ya mifugo yasitegemee mvua peke yake bali yawe na kilimo cha umwagiliaji kwenye mashamba ya nyasiBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-32691786263948242742009-09-23T18:17:21.860+03:002009-09-23T18:17:21.860+03:00Hii ndiyo kauli mbiu ya CCM katika uchaguzi mwaka ...Hii ndiyo kauli mbiu ya CCM katika uchaguzi mwaka kesho nini. Ni yale yale tu hakuna jipya. KILIMO NDIYO UTI WA MGONGO WA TAIFA imetufikisha wapi? Nashangaa nchi bado imesimama wakati UTI WA MGONGO wake uko nyang'anyang'a. Medical miracle au?Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-33944293078172367402009-09-22T16:24:58.026+03:002009-09-22T16:24:58.026+03:00Kila kitu kilichoandikwa/semwa kinaonyesha /letesh...Kila kitu kilichoandikwa/semwa kinaonyesha /letesha mategemeo , tatizo waTanzania ni watu wazuri sana kwa kutoa ahadi lakini sio kutekeleza. Mungu ibariki Tanzania yetu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com