tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post7652385647992896923..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: VODACOM NA WAATHIRIKA WA MAFURIKOBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-81496094442532582282010-01-26T19:09:50.629+03:002010-01-26T19:09:50.629+03:00Chib ni kweli wanatumia wenyewe zaidi maana uzindu...Chib ni kweli wanatumia wenyewe zaidi maana uzinduzi ulikuwa mkubwa sana na watu kibao walipewa fulana za bure, sasa hizo hela zote si wangepeleka tu kule moja kwa moja na hii kampeni wangeizindulia kule<br /><br />Masangu (prof) nahisi walikusikia maana na wao pia wanasoma hizi blog zetu lakini wao kama kampuni wametoa kiasi gani maana kule ndiko kwenye wateja wao piaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-8129568982894918022010-01-26T18:13:38.767+03:002010-01-26T18:13:38.767+03:00Afadhali kidogo. Niliwahi kuwalalamikia hawa (kima...Afadhali kidogo. Niliwahi kuwalalamikia hawa (kimakosa) kwa kukomalia mashindano ya urembo tu na kutojali mambo ya msingi. Wameamka!<br /><br />Tazama hapa: http://matondo.blogspot.com/2010/01/makampuni-yetu-na-jinamizi-la.htmlMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-6962626900754111232010-01-26T18:06:55.817+03:002010-01-26T18:06:55.817+03:00Unaweza kukuta nusu ya hizo bilioni ni allowances ...Unaweza kukuta nusu ya hizo bilioni ni allowances za wakubwa kwenda kukagua maendeleo ya mafuriko!! :-(chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.com