tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post7672395090002783539..comments2024-02-22T11:42:50.824+03:00Comments on MITIKI -KILIMO KWANZA: UFUGAJI WA SAMAKI WA CHAKULA - SEHEMU YA PILIBennethttp://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-16494214476814307192022-11-21T20:37:19.606+03:002022-11-21T20:37:19.606+03:00Nashukuru kwa elimu hii,ubarikiwe sana, Naomba kuj...Nashukuru kwa elimu hii,ubarikiwe sana, Naomba kujua uwiano wa samaki na ukubwa wa bwawa kwa mabwawa madogo chini ya ekari mojajeremia mwaijandehttps://www.blogger.com/profile/15476978995718688429noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-40454081041804012192012-08-28T15:09:06.321+03:002012-08-28T15:09:06.321+03:00pole na majukumu kaka, nimeipenda hii blogu kwakwe...pole na majukumu kaka, nimeipenda hii blogu kwakweli, naomba kuuliza samaki wa chakula wanafugwa kwenye mabwawa ya kuchimba peke yake? haiwezekani kutumia vyombo km vya plastic vikubwa kwa watu ambao hatuna nafasi??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-72339655057704432932012-04-19T15:45:01.908+03:002012-04-19T15:45:01.908+03:00good work bro...good work bro...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-17799411512992796812011-12-23T13:46:50.348+03:002011-12-23T13:46:50.348+03:00Yes Bro, unanifurahisha sana kwa harakati zako za ...Yes Bro, unanifurahisha sana kwa harakati zako za kupunguza na kutokomeza umasikini. Je? Ni maeneo gani mazuri kwa ufugaji wa samaki?Tungarazanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-3615702022042717582011-02-06T11:04:09.443+03:002011-02-06T11:04:09.443+03:00safi sanasafi sanaireneogynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-33205643359715479852010-02-25T23:28:57.105+03:002010-02-25T23:28:57.105+03:00Ndugu mtayarishaji wa sehemu hii nzuri kwa kuelimi...Ndugu mtayarishaji wa sehemu hii nzuri kwa kuelimisha jamii juu ya ufugaji wa samaki!kwanza nakupongeza kwa taaluma uliyoitoa juu ya suala zima la ufugaji wa samaki!

Binafsi nahusika na fani hii ya ufugaji wa samaki, kubwa nikushariana na kuongezeana maarifa!

Kuna kituo cha serikali pale Morogoro-Kingolwira ndugu zetu wasomaji na watembeleaji wa globu yako wanaweza kwenda wakapatiwa ujuzi zaidi ikiwa na pamoja na vifaranga bora wa samaki!pia namna ya kutengeneza chakula (artificially farm made fish feeds)...!fredrick4francis@yahoo.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-33763246710336906032009-08-28T11:05:37.370+03:002009-08-28T11:05:37.370+03:00Kwanza Mwenyeezi Mungu akubariki kwa kazi yako hii...Kwanza Mwenyeezi Mungu akubariki kwa kazi yako hii ya wito. Kwangu mimi blong ya namna hii ni ya kwanza. Ni kiasi cha kama miezi sita sasa nimekuwa nikitafuta maelezo juu ya ufugaji wa samaki bila mafanikio lkn hapa naona full elimu, hongera kaka tupo pamoja na wewe. Ninaomba utupatie maelezo ya kufuga nyungunyungu kwani hiki ni chakula muhimu kwa ufugaji wa samaki.
Ali Makame Juma(POLO)
Mahonda Kask B
ZANZIBARUnknownhttps://www.blogger.com/profile/10164926551984628154noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-78582283795907721992009-05-20T06:54:44.310+03:002009-05-20T06:54:44.310+03:00Chib, nashukuru kwa kunitembelea inanipa moyo sana...Chib, nashukuru kwa kunitembelea inanipa moyo sana
Sio lazima utumie nyungu nyungu, hao huwa tunatumia katika mazingira ya kiTanzania (underfield conditions) kuna vyakula maalum ambavyo vinauzwa madukani unaweza kutumia hivyo au nunua watoto ambao wamekwisha zalishwaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-44091970786781231032009-05-19T17:06:00.000+03:002009-05-19T17:06:00.000+03:00Nimedondoka katika blog hii, mh elimu fika ipo hap...Nimedondoka katika blog hii, mh elimu fika ipo hapa, mie natoka kanda ya ziwa, samaki ndio haswaaaa mboga yangu, lakini huku nilipo, samaki ni adimu, nimetamani sana kufungua bwawa, lakini kuwashika hao nyungunyungu, ndugu yangu, kazi kweli kweli.
Hongera sanachibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671225836300997226.post-22260642254265314052009-05-17T18:22:00.000+03:002009-05-17T18:22:00.000+03:00wow, this zoo's blog ?
naturally !
seeingmy.blog...wow, this zoo's blog ?
naturally !

seeingmy.blogspot.comUnknownhttps://www.blogger.com/profile/11690291055242040818noreply@blogger.com