Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
KURASA
▼
Tuesday, August 11, 2009
TEAK FOR SALE - MITIKI INAUZWA
SPECIE - tectona grandis (seed planted not cloned)
AGE - 18 years old
QUANTITY - 50 standing trees
LOCATION - Mahenge, Morogoro
CONTACT - mitiki1000@gmail.com
For serious buyer send your price offer & further negotiation will be made at the site
sasa hiyo si miti imeshapandwa au nimeelewa vibaya? kama imeshapandwa unaihamisha vipi au mpaka niikate?
ReplyDelete