KURASA

Thursday, April 22, 2010

MSIONE NIKO KIMYA NIKO KWENYE FUNGATE

16 comments:

  1. watu weweeee, people youuu youuuuu

    ReplyDelete
  2. kaka Hongera saaaaana, nakutakia kila la kheri katika hayo maisha mapya uliyoanza,,God bles you and your wife

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kaka. Mungu awe nawe daima. Nawatakia kila la heri ktk maisha yenu ya ndoa

    MAKULILO, Jr.
    www.makulilo.blogspot.com
    San Diego, CA

    ReplyDelete
  4. Hongera sana na karibu kwenye klabu!
    Mdau
    Drfaustine.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. Hongera sana sana na karibu katika maisha ya ndoa.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Kaka, klabu yetu imepata mwanachama mpya.

    ReplyDelete
  7. kaka ben hongera kwa sana mumependeza sana Mugu atawajaleni kizazi na furaha kwenye ndoa yenu amin

    ReplyDelete
  8. Oh Wow! Congratulations!!!!! Much blessings! :-)

    ReplyDelete
  9. nawashukuruni sana kwa kuniombea mema mimi na mke wangu, picha za fungate tukiwa kijijini zinakuja soon stay tuned

    ReplyDelete
  10. Hiongera sana kaka, nawatakia baraka zote za ndoa

    ReplyDelete
  11. Hongera sana Mkuu

    ReplyDelete
  12. Hongera sana kaka Bennet Mungu akujaalie kila la kheri na ndoa yako ishallah.

    ReplyDelete