Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
KURASA
▼
Tuesday, July 6, 2010
WAKALA WA MBEGU ZA MITI NA SABA SABA
Kwa wale wanaohitaji mbegu za miti au miche kutoka kwa wakala wa mbegu za miti wa Taifa, mnaweza kuzipata sabasaba kwenye banda la maliasili badala ya kuzifuta mbegu au miche kule morogoro, wana mbegu nyingi na miche ya aina mbali mbali
Nashukuru mno kwa taarifa na maarifa unaotulisha. Big up sana brother. Ahsante nilikuwa natafuta sehemu ya kupata kuku wa kufuga nimeshapata kupitia blog yako na nina amini pia nitapata ushauri kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji toka MUVEK au kwako. Naomba ushauri wako kuhusu upandaji wa miti ya mbao hasa aina ya mitiki na sylviculture. Na pia contact za wakala wa mbegu tanzania ikiwezekana pia simu yako.
Nahitaji kujua huduma ya vipimo vya udongo na ushauri wa kitaalamu wa miti kama naweza kuvipata eneo la Kongowe. Nataka kupanda Misedera (Spanish Cedar) Cedrela odorata L. pamoja na mikangazi (African Mahogany)Khaya anthotheca
Duh! natamani ningekuwa huko leo ningeinunu hiyo mikangazi!
ReplyDeleteMh! hata mimi yasinta. Asante bennet sisi hatuko huko ila umetuunganisha
ReplyDeleteKaka B, mipingo inaota maeneo gani (hali ya hewa)?
ReplyDeleteMikangazi inatumikaje?
Duh!
Nimeshapata mahali pa kwenda kununua mbegu. Ahsante kwa kutuhabarisha
ReplyDeleteHello brother Ben,
ReplyDeleteNashukuru mno kwa taarifa na maarifa unaotulisha. Big up sana brother.
Ahsante nilikuwa natafuta sehemu ya kupata kuku wa kufuga nimeshapata kupitia blog yako na nina amini pia nitapata ushauri kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji toka MUVEK au kwako.
Naomba ushauri wako kuhusu upandaji wa miti ya mbao hasa aina ya mitiki na sylviculture.
Na pia contact za wakala wa mbegu tanzania ikiwezekana pia simu yako.
Livin Matabaro,
Tel. 000255 755 462970
Nahitaji kujua huduma ya vipimo vya udongo na ushauri wa kitaalamu wa miti kama naweza kuvipata eneo la Kongowe. Nataka kupanda Misedera (Spanish Cedar) Cedrela odorata L. pamoja na mikangazi (African Mahogany)Khaya anthotheca
ReplyDeleteNahitaji kupata miche ya nyanya chungu na pilipili mbuzi
ReplyDelete