Leo nilikuwa nimekwenda kutibu mbwa 9 katika kampuni ya usafirishaji ijulikanayo kama Ruvuvu transport huko kurasini, mbwa hao walikuwa wanasumbuliwa na ugonjwa wa minyoo ya kwenye ngozi ujulikanao kama MANGE, ugonjwa huu husambazwa na viroboto wa mbwa
HAPA MBWA ANAANDALIWA
KUCHOMA SINDANO MBWA
DU mbwa 9 wanini wote,utafikiri zizi la mbuzi
ReplyDeleteUnaweza kusema ni wengi lakini eneo wanalolinda ni yard ya kulaza malori ni eneo kubwa kwa kweli na siku hizi walinzi hawaaminiki sana
ReplyDelete