Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
Umesema ukweli wote. Mimi nimechukua masomo hapa na nimeyahifadhi kabisa kwenye maktaba yangu. Baadhi nimeshaanza kuayatumia, na nimeona matunda yake. Big up @Bennet
Hongera kwa kurudi upya. Missing your posts a lot.
ReplyDeleteAksante sana ila kumbuka blog hii ni kama kitabu ukishaweka karibia kila kitu kuweka kipya kunahitaji kazi ya ziada
ReplyDeleteUmesema ukweli wote. Mimi nimechukua masomo hapa na nimeyahifadhi kabisa kwenye maktaba yangu. Baadhi nimeshaanza kuayatumia, na nimeona matunda yake. Big up @Bennet
ReplyDelete