Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
KURASA
▼
Sunday, September 8, 2013
BLOGS AWARDS 2013
Ingia hapa na uipige kura blog hii kuwa blog bora ya kilimo mwaka 2013, bofya hapa
Bahati mbaya sikuwa na taarifa hizi kwa hiyo nimeshindwa kupiga kura kwa vile leo ni siku ya mwoisho ....
ReplyDeleteDada Yasinta upigaji kura bado haujaisha mpaka tarehe 15 mwezi huu
ReplyDeletehongera ndugu unatuelimisha Mungu akunariki sana
ReplyDelete