Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
Ndugu mtaalamu pamoja na wasomaji wa mtandao huu. naomba kuuliza swali. inasemekana tango likiliwa na asali eti ni sumu na binadamu anafariki Je ni kweli?
Ndugu mtaalamu pamoja na wasomaji wa mtandao huu. naomba kuuliza swali. inasemekana tango likiliwa na asali eti ni sumu na binadamu anafariki Je ni kweli?
ReplyDeleteMie sina taarifa sahihi kuhusu hilo labda wadau watusaidie au mmoja aonje halafu tuone
ReplyDelete