Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
habari kaka nilikuwa nataka nijue soko la mitiki. mitiki inauzikaje kwa bei?? na wakati gani naamisha ikifika miaka mingapi? na je naweza kukopa bank kwa kutumia shamba langu la mitiki?
Ahsante kwa taarifa na pia kws mandhari nzuri. Nimetamani maandazi hayooo Lol
ReplyDeletehapo panaitwa Pande Mpirani njiani kuelekea Mjesani watani zangu wadigo wakanilisha maandazi badala ya vyakula vya asili kama mihogo na ndizi
ReplyDeletehongerasana kaka kwa harakati zako niliwahi kukuuliza nawezaje kuzalisha goldfish hukunipa jibu
ReplyDeletehabari kaka nilikuwa nataka nijue soko la mitiki. mitiki inauzikaje kwa bei?? na wakati gani naamisha ikifika miaka mingapi? na je naweza kukopa bank kwa kutumia shamba langu la mitiki?
ReplyDelete