Incubators za kisaasa kwa ajili ya kutotoleshea mayai kama ya Kuku, Kanga, Bata na kadhalika zinatengenezwa hapa hapa nchini na waTanzania wazalendo kutokana na mahitaji yako sahihi, Incubators hizi zinatengenezwa hapa hapa nchini kwa kutumia malighafi zinaziopatikana hapa nchini kwetu na zina ufanisi mkubwa sana na bei yake ni nafuu, Kuanzia mayai 120 ni automatic yaani zinageuza zenyewe mayai
UKUBWA | BEI (Tsh) |
Mayai 60 | 230,000 |
Mayai 90 | 300,000 |
Mayai 120 | 580,000 |
Mayai 180 | 650,000 |
Mayai 240 | 680,000 |
Mayai 300 | 750,000 |
Mayai 480 | 850,000 |
Mayai 600 | 900,000 |
Mayai 900 | 1,200,000 |
Mayai 5000 | 4,500,000 |
Kwa mawasiliano mpigie Gimases:0764870930 Tabata Kimanga
Incub ators za kufundishia zenye vioo vitupu ili uweze kuona ndani kwenye muda wote, na battery cages za kufugia kuku nba Sungura zinatengenezwa pia ukitoa oda yako
safi sana. mkuu blog yako imesimama na naamini italeta faida na Maendeleo kwa wafugaji
ReplyDeletekaribu tena ndugu yangu...ahsante kwa ufahamisho huo wa hiyo kitotolesha ..
ReplyDeletekutokea Malimbe-Nyegezi-mwanza nataman kuigia kwenye ufugaji wa kuku wa nyama na mayai pia nahitaji kupata machine kwa ajili yakuangulia vifaranga, Kwa hatua za mwanzo kabisa itanigharimu kias gani cha fedha, My emails address ezekielntandu@gmail.com
ReplyDeleteNahitaji incubator ya laki mbili tuu
ReplyDeleteKwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
ReplyDeleteAnasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159