ASILI
Kiasili ni mbuzi wa Afrika
ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India, hii ndio Mbegu kubwa
Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine. Pia wanazalisha kiwango
kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa Zaidi kwa nyama.
RANGI
Wana mwili wenye rangi
nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe
kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001%
UMBO
Wana umbo kubwa kufikia kilo
110-135 kwa madume
Kilo 90-100 kwa majike
Wana masikio yaliyolala kama
mbuzi wa kinubi (Nubians)
UZAZI
Huwa wanazaa mapacha na
huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka
Majike ni wazazi na walezi
wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha
Watoto hukua haraka sana, na
nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile)
Kwenye baridi kali au joto
kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba
Kwa hapa Tz ni Shamba gani wanafuga hawa aina ya Mbuzi?
ReplyDeleteWapi naweza kuwapata hapa Tanzania? Ninahitaji kuwafuga wa aina hii, nipo DSM.
ReplyDeleteMbuzi hawa wanapatikana wapi. nikihitaji kwaajili ya kununua wakufuga. nipo DSM
ReplyDeleteMi nipo mbozi songwe nahitaji
ReplyDeleteWanapatikana wapi hapa Tanzania?
ReplyDeleteNahitaji hii mbegu ya boer
ReplyDeleteNahitaji mbegu hii madume 20 niko mby.
ReplyDeleteWanapatikana wapi hapa Tanzania
Kwa hapa Tanzania wanapatikana WAP Niko mkia was rukwa
ReplyDeleteKwa Tanzania,waweza kufuga mkoa wowote au!?
ReplyDeleteNahitaji hii mbegu ya Boer Goat tafadhali nitawapataje
ReplyDeleteKwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
ReplyDeleteAnasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159