KURASA

Saturday, October 9, 2010

KITUO CHA KUZALISHA NA KUFUGA SAMAKI KINGOLWIRA - MOROGORO



MSAIDIZI WA BWANA KALINGA akiwalisha kambale kwenye bwawa la kufugia








BUSTANI ya mipapai, maji yakitolewa kwenye mabwawa hutumika kumwagilia bustani hii


BATA akiogelea na kusaidia mzunguko wa oksijen kwenye maji


BWAWA lililochimbwa tayari kwa matumizi, mabanda ya bata na kuku yakiwa pembeni tayari


TANKI LIKIJENGWA


TANKI LA KULELEA VIFARANGA VYA SAMAKI


MTAALAMU BWANA KALINGA AKINIPA MAELEZO


MTAMBO WA KUTOTOLESHEA MAYAI YA KAMBALE MAABARA






MASHINE YA KUSAGIA CHAKULA CHA SAMAKI


CHAKULA CHA SAMAKI


KWA MAWASILIANO NA BW KALINGA
0757891761 au 0787596798
BEI YA KIFARANGA CHA SAMAKI NI KATI YA SHILINGI 30 - 50 KUTEGEMEA UKUBWA

3 comments:

  1. Safi kabisa, wewe ulistahili kugombea ubunge, kwani kama twasema kilimo kwanza, na watendaji wazuri mpo, kwanini msishikilie hatamu hizo za uongozi, na tunawapa mfisadi wasiojua hata kushika jembe, watatuambia nini kuhusu, jembe, kuhusu mifugo, kuhusu njaa...kuhus foleni barabarani, kuhusu kukatika kwa umeme, kuhusu....kadha wa kadha, wakati hajui na haijui shida na kilichomo!

    ReplyDelete
  2. Hii blog ni nzuri sana na inaelimisha sana. nimefurahi kuisoma na nitaendelea kuifuatia. Nakukaribisha pia kwenye blog yangu ambayo naamini ina uhusiano mkubwa na haya unayoandika hapa. Jipende.com

    ReplyDelete
  3. Mi nahitaji kuanzisha ufugaji wa samaki aina ya kambare.
    Ila nitatumia mabwawa ya kujenga.
    Nataka nianze na samaki 2000.
    Vifaranga wa kambare vinapatikana?
    Nipo morogoro.

    ReplyDelete