Hii ni sehemu ya nyuma kwenye wakala wa mbegu za miti, hii ni baadhi ya miche inayopatikana kwenye vitalu vyao
Huu mti unaitwa msabuni au mhalinta
Mzinga wa nyuki wa kufugwa, huu ni mzinga wa kisasa kabisa
Mdau akinunua mbegu za miti ya misoji (mitiki) kutoka kwa wakala wa mbegu za miti (TTSA) kwa ajili ya kuotesha mwenyewe
Mdau nimependa sana hii idea ya ufugaji wa nyuki. Ni wapi naweza pata muongozo zaidi? bahati mbaya sabasaba sikufika. Kama una contact zozote naomba tafadhali nitumie @ patrickfoya@gmail.com
ReplyDelete