KURASA

Tuesday, July 3, 2012

SUMA JKT NA SABA SABA

 FARMTRAC trekta bora kwa ajili ya kilimo cha kisasa






Kuku wazazi (parent stock) kwa ajili ya kuzalisha vifaranga vya kuku bora wa mayai na wa kienyeji (improved breed)



Battery cages kwa ajili ya kufugia kuku wa mayai, mfumo huu hutumia sehemu ndogo tu ya banda kufuga kuku wengi, na ni rahisi kwa sababu mifumo ya maji na chakula unaweza kuweka inayojiendesha yenyewe (automatic) na pia ni rahisi kukusanya mayai na haya vunjiki hovyo


 Hawa ni bata wa kawaida


 Bata mzinga
F

6 comments:

  1. Nawapenda sana hawa bata ninao pia. nilianza na wawili tu na kupata vifaranga 13 baadae nikapata 9 nikawalea wakafa wawitatu walibaki 18 niliwalea wakakuwa nikawauza makinda wote @ 50,000/- nikalea nzao ya pili nimewakuza wote na nasubiri mwezi huu wanataga. Ukweli nyama yake tamu sana sana ukianza kumla mmoja usipokuwa mwangalifu unaweza kuwamaliza kwa kuwala hahahaha.

    ReplyDelete
  2. bata ao unao nipigie kwenye No 0712911434

    ReplyDelete
  3. Nahitaji leyas cage, ni kiasi gani ya kuku 96?

    ReplyDelete
  4. Nahitaji namba ya simu ya wauzaji, namba yng ni 0719 453 199

    ReplyDelete
  5. Nahitaji namba ya simu ya wauzaji, namba yng ni 0719 453 199

    ReplyDelete
  6. Nahitaji leyas cage, ni kiasi gani ya kuku 96?

    ReplyDelete