Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
KURASA
▼
Saturday, November 7, 2009
SAANEN MBUZI BORA WA MAZIWA
ASILI Switzerland katika ukanda wa Saanen
RANGI nyeupe au maziwa
UZITO kilo 65-68
MAZINGIRA yasiyo na joto, wanapendelea baridi chini ya sentigredi 15c
UZAZI mtoto moja au mapacha (kila mwaka mara mbili)
UZALISHAJI lita 4 mpaka 7 kwa siku (mikamuo miwili)
MASIKIO yamesimama wima
MKIA umelala tofauti na mbuzi wengi ambao husimamisha mkia
NDEVU majike yana ndevu mara chache ingawa si nyingi kama madume
PEMBE ndefu zilizosimama wima
hapa tushindwe wenyewe tu
ReplyDeleteKaribu sana Mwaipopo
ReplyDeleteAsante sana Bennet kwa hii elimu ya bure unayotupatia. Mimi naishi Dar, unaweza kujua ni wapi hawa mbuzi wanaweza kupatikana?
ReplyDelete