
ASILI Switzerland katika ukanda wa Saanen
RANGI nyeupe au maziwa
UZITO kilo 65-68
MAZINGIRA yasiyo na joto, wanapendelea baridi chini ya sentigredi 15c

UZAZI mtoto moja au mapacha (kila mwaka mara mbili)
UZALISHAJI lita 4 mpaka 7 kwa siku (mikamuo miwili)
MASIKIO yamesimama wima
MKIA umelala tofauti na mbuzi wengi ambao husimamisha mkia
NDEVU majike yana ndevu mara chache ingawa si nyingi kama madume
PEMBE ndefu zilizosimama wima

3 comments:
hapa tushindwe wenyewe tu
Karibu sana Mwaipopo
Asante sana Bennet kwa hii elimu ya bure unayotupatia. Mimi naishi Dar, unaweza kujua ni wapi hawa mbuzi wanaweza kupatikana?
Post a Comment