

Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
5 comments:
Duh! mbuzi wa ajabu kweli hao sijawahi kuona hii. Jumapili njema kaka Bennet
Nashukuru Dada Yasinta, sasa hivi nimebanwa kidogo ndio maana sipatikani sana kwenye mtandao
Nakwambia... shida inafundisha mambo mengi.
Si ajabu tukasikia kuna sehemu kuku wanapiga mbizi kukamata samaki pale uhaba wa majani utakapotokea sehem sehemu :-)
Pengine Charles Darwin alikuwa sahihi. Si ajabu baada ya miaka milioni moja ukakuta mbuzi hawa wamebadilika kwa kuota makucha, kuwa wembamba n.k. Mazingira na shida zinatufanya tuwe tulivyo!
hivi nyama ya mbuzi inakiwango gani cha usababishi wa gout? how safe is nyama ya nguruwe?
Post a Comment