KURASA

Friday, December 8, 2017

BOER GOAT - MBUZI BORA WA NYAMA


ASILI
Kiasili ni mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India, hii ndio Mbegu kubwa Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine. Pia wanazalisha kiwango kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa Zaidi kwa nyama.

RANGI
Wana mwili wenye rangi nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001%


UMBO
Wana umbo kubwa kufikia kilo 110-135 kwa madume
Kilo 90-100 kwa majike
Wana masikio yaliyolala kama mbuzi wa kinubi (Nubians)


UZAZI
Huwa wanazaa mapacha na huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka
Majike ni wazazi na walezi wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha
Watoto hukua haraka sana, na nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile)
Kwenye baridi kali au joto kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba


11 comments:

Unknown said...

Kwa hapa Tz ni Shamba gani wanafuga hawa aina ya Mbuzi?

Unknown said...

Wapi naweza kuwapata hapa Tanzania? Ninahitaji kuwafuga wa aina hii, nipo DSM.

Unknown said...

Mbuzi hawa wanapatikana wapi. nikihitaji kwaajili ya kununua wakufuga. nipo DSM

Unknown said...

Mi nipo mbozi songwe nahitaji

Unknown said...

Wanapatikana wapi hapa Tanzania?

Unknown said...

Nahitaji hii mbegu ya boer

Unknown said...

Nahitaji mbegu hii madume 20 niko mby.
Wanapatikana wapi hapa Tanzania

Unknown said...

Kwa hapa Tanzania wanapatikana WAP Niko mkia was rukwa

Unknown said...

Kwa Tanzania,waweza kufuga mkoa wowote au!?

Unknown said...

Nahitaji hii mbegu ya Boer Goat tafadhali nitawapataje

said...

Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159