Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
Saturday, October 9, 2010
KITUO CHA KUZALISHA NA KUFUGA SAMAKI KINGOLWIRA - MOROGORO
MSAIDIZI WA BWANA KALINGA akiwalisha kambale kwenye bwawa la kufugia
BUSTANI ya mipapai, maji yakitolewa kwenye mabwawa hutumika kumwagilia bustani hii
BATA akiogelea na kusaidia mzunguko wa oksijen kwenye maji
BWAWA lililochimbwa tayari kwa matumizi, mabanda ya bata na kuku yakiwa pembeni tayari
TANKI LIKIJENGWA
TANKI LA KULELEA VIFARANGA VYA SAMAKI
MTAALAMU BWANA KALINGA AKINIPA MAELEZO
MTAMBO WA KUTOTOLESHEA MAYAI YA KAMBALE MAABARA
MASHINE YA KUSAGIA CHAKULA CHA SAMAKI
CHAKULA CHA SAMAKI
KWA MAWASILIANO NA BW KALINGA
0757891761 au 0787596798
BEI YA KIFARANGA CHA SAMAKI NI KATI YA SHILINGI 30 - 50 KUTEGEMEA UKUBWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Safi kabisa, wewe ulistahili kugombea ubunge, kwani kama twasema kilimo kwanza, na watendaji wazuri mpo, kwanini msishikilie hatamu hizo za uongozi, na tunawapa mfisadi wasiojua hata kushika jembe, watatuambia nini kuhusu, jembe, kuhusu mifugo, kuhusu njaa...kuhus foleni barabarani, kuhusu kukatika kwa umeme, kuhusu....kadha wa kadha, wakati hajui na haijui shida na kilichomo!
Hii blog ni nzuri sana na inaelimisha sana. nimefurahi kuisoma na nitaendelea kuifuatia. Nakukaribisha pia kwenye blog yangu ambayo naamini ina uhusiano mkubwa na haya unayoandika hapa. Jipende.com
Mi nahitaji kuanzisha ufugaji wa samaki aina ya kambare.
Ila nitatumia mabwawa ya kujenga.
Nataka nianze na samaki 2000.
Vifaranga wa kambare vinapatikana?
Nipo morogoro.
Post a Comment