Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami (mitiki1000@gmail.com) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo na mifugo, kabla hujaingia kwenye mradi fanya utafiti wa masoko wewe mwenyewe
4 comments:
0757441463
Habari za jioni ndugu,jamaa na rafiki. Naitwa Mr Eligius Ndjovu Mimi ndoo nimeanza kufuga sungura toka mwezi wa 10 mwaka Jana.Nilianza na sungura 4 na sasa wako jumla 15. Ikimaanisha wakubwa 4 na wadogo 11.Shida ni wapi nitaweza kupata soko la uhakika pale sungura watapokuwa wengi. Mimi nipo Dar es Salaam.Napatikana kwenye number 0652416926.Naomba msaada wako
Nimefunga sungura sasa ninao wadogo wa miezi 3 je soko nitapataje
Namba yangu ni 0620308613 nipo kivule Mwembeni
Post a Comment