KURASA

Wednesday, March 15, 2017

INCUBATORS FOR SALE - VITOTOLESHA MAYAI VINAUZWA

Incubators za kisaasa kwa ajili ya kutotoleshea mayai kama ya Kuku, Kanga, Bata na kadhalika zinatengenezwa hapa hapa nchini na waTanzania wazalendo kutokana na mahitaji yako sahihi, Incubators hizi zinatengenezwa hapa hapa nchini kwa kutumia malighafi zinaziopatikana hapa nchini kwetu na zina ufanisi mkubwa sana na bei yake ni nafuu, Kuanzia mayai 120 ni automatic yaani zinageuza zenyewe mayai
                                                                                                                                                                                                                                 
      UKUBWA BEI (Tsh)
Mayai 60 230,000
Mayai 90 300,000
Mayai 120 580,000
Mayai 180 650,000
Mayai 240 680,000
Mayai 300 750,000
Mayai 480 850,000
Mayai 600 900,000
Mayai 900 1,200,000
Mayai 5000 4,500,000


Kwa mawasiliano mpigie Gimases:0764870930 Tabata Kimanga

Incub ators za kufundishia zenye vioo vitupu ili uweze kuona ndani kwenye muda wote, na battery cages za kufugia kuku nba Sungura zinatengenezwa pia ukitoa oda yako


Hii hapa chini ndiyo ya mayai 5000 na inauzwaTsh 4,500,000 tu, hapa ipo katika hatua za mwisho
2 comments:

samson gimase said...

safi sana. mkuu blog yako imesimama na naamini italeta faida na Maendeleo kwa wafugaji

Yasinta Ngonyani said...

karibu tena ndugu yangu...ahsante kwa ufahamisho huo wa hiyo kitotolesha ..