KURASA

Wednesday, March 15, 2017

INCUBATORS FOR SALE - VITOTOLESHA MAYAI VINAUZWA

Incubators za kisaasa kwa ajili ya kutotoleshea mayai kama ya Kuku, Kanga, Bata na kadhalika zinatengenezwa hapa hapa nchini na waTanzania wazalendo kutokana na mahitaji yako sahihi, Incubators hizi zinatengenezwa hapa hapa nchini kwa kutumia malighafi zinaziopatikana hapa nchini kwetu na zina ufanisi mkubwa sana na bei yake ni nafuu, Kuanzia mayai 120 ni automatic yaani zinageuza zenyewe mayai
                                                                                                                                                                                                                                 
      UKUBWA BEI (Tsh)
Mayai 60 230,000
Mayai 90 300,000
Mayai 120 580,000
Mayai 180 650,000
Mayai 240 680,000
Mayai 300 750,000
Mayai 480 850,000
Mayai 600 900,000
Mayai 900 1,200,000
Mayai 5000 4,500,000


Kwa mawasiliano mpigie Gimases:0764870930 Tabata Kimanga

Incub ators za kufundishia zenye vioo vitupu ili uweze kuona ndani kwenye muda wote, na battery cages za kufugia kuku nba Sungura zinatengenezwa pia ukitoa oda yako














Hii hapa chini ndiyo ya mayai 5000 na inauzwaTsh 4,500,000 tu, hapa ipo katika hatua za mwisho




5 comments:

Unknown said...

safi sana. mkuu blog yako imesimama na naamini italeta faida na Maendeleo kwa wafugaji

Yasinta Ngonyani said...

karibu tena ndugu yangu...ahsante kwa ufahamisho huo wa hiyo kitotolesha ..

Unknown said...

kutokea Malimbe-Nyegezi-mwanza nataman kuigia kwenye ufugaji wa kuku wa nyama na mayai pia nahitaji kupata machine kwa ajili yakuangulia vifaranga, Kwa hatua za mwanzo kabisa itanigharimu kias gani cha fedha, My emails address ezekielntandu@gmail.com

Unknown said...

Nahitaji incubator ya laki mbili tuu

said...

Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
*Kama unataka kupata mimba.
*Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
*Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
*Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
*Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
*Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159