KURASA

Saturday, November 7, 2009

SAANEN MBUZI BORA WA MAZIWA
ASILI Switzerland katika ukanda wa Saanen

RANGI nyeupe au maziwa

UZITO kilo 65-68

MAZINGIRA yasiyo na joto, wanapendelea baridi chini ya sentigredi 15cUZAZI mtoto moja au mapacha (kila mwaka mara mbili)

UZALISHAJI lita 4 mpaka 7 kwa siku (mikamuo miwili)

MASIKIO yamesimama wima

MKIA umelala tofauti na mbuzi wengi ambao husimamisha mkia

NDEVU majike yana ndevu mara chache ingawa si nyingi kama madume

PEMBE ndefu zilizosimama wima