KURASA

Thursday, April 22, 2010

MSIONE NIKO KIMYA NIKO KWENYE FUNGATE

16 comments:

John Mwaipopo said...

watu weweeee, people youuu youuuuu

Michael said...

kaka Hongera saaaaana, nakutakia kila la kheri katika hayo maisha mapya uliyoanza,,God bles you and your wife

ERNEST B. MAKULILO said...

Hongera sana kaka. Mungu awe nawe daima. Nawatakia kila la heri ktk maisha yenu ya ndoa

MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
San Diego, CA

Faustine said...

Hongera sana na karibu kwenye klabu!
Mdau
Drfaustine.blogspot.com

Mbele said...

Hongera sana. Kila la heri.

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana sana na karibu katika maisha ya ndoa.

chib said...

Hongera sana Kaka, klabu yetu imepata mwanachama mpya.

Anonymous said...

kaka ben hongera kwa sana mumependeza sana Mugu atawajaleni kizazi na furaha kwenye ndoa yenu amin

Candy1 said...

Oh Wow! Congratulations!!!!! Much blessings! :-)

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Hongera sana. Hapo iwe ni mpaka kifo!

Bennet said...

nawashukuruni sana kwa kuniombea mema mimi na mke wangu, picha za fungate tukiwa kijijini zinakuja soon stay tuned

Anonymous said...

Hiongera sana kaka, nawatakia baraka zote za ndoa

Baraka Mfunguo said...

Hongera sana mukulu

Anonymous said...

Hongera sana Mkuu

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Hongera mkuu!

Pamoja daima

salua said...

Hongera sana kaka Bennet Mungu akujaalie kila la kheri na ndoa yako ishallah.