KURASA

Thursday, June 10, 2010

AINA 10 ZA MBWA WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI

1 - BORDER COLLIE



2 - POODLE



3 - GERMAN SHEPHERD / ALSATION


4 - GOLDER RETRIEVER


5 - DOBERMAN PINSCHER


6 - SHETLAND SHEEPDOG


7 - LABRADOR RETRIEVER


8 - PAPILLON


9 - ROTTWEILER


10 - AUSTRALIAN CATTLE DOG

10 comments:

Anonymous said...

nashukuru kwa website yako ambayo imekuwa msaada wetu mkubwa.imenisaidia katika ufungaji wa kuku. swali kuhusu Mbwa. Je nawezaje kumfundisha mwaka sehemu ya kujisaidia bila kuwa anajisaidia kila sehemu hovyo hovyo. mbwa wangu ni jamii ya Germany sherpard. mwaba hawa wana umri wa miaka miwili sasa.
nitashukuru sana kwa msaada wako.

Anonymous said...

kaka ben nigelipenda kujuwa hizo aina kumi za mbwa zote zinapatikana tanzania asante sana kwa mchango mwako mtalam

Bennet said...

Anony June 15 nafurahi kama ushauri wangu umekusaidia katika ufugaji wa kuku, kuhusu kumfundisha mbwa wako inawezekana ingawa waswahili tunasema huwezi kumfundisha mbwa mzee sheria mpya

Kwanza inabidi awe na mkanda shingoni na kisha uwe na mnyororo umemfunga, halafu chunguza muda gani huwa anajisaidia mara kwa mara, kwa kawaida mbwa wana muda fulani ambao ndio hujisaidia, sasa unamuwahi kabla hajajisaidia unammfunga mnyororo wake na kumpeleka mahali ambapo unataka awe anajisaidia na kisha unamuamrisha ajisaidie kwa kutumia neno moja na fupi tu mfano PU, mfano mbwa wako anaitwa CHIA kwa hiyo unamwambia kwa sauti ya kuamrisha CHIA PU, CHIA PU PUPU, ukirudia mara kwa mara, ingawa itachukua muda lakini atajifunza pole pole.
Akianza kuzoea unampeleka pale na mnyororo lakini bila kumfunga huku ukindelea kumuamrisha CHIA PU PU, baada ya muda unajaribu kumuamrisha bila kutumia mnyororo na baadda ya muda atakuwa kajifunza
Uzuri wa huyu german shepherd ni mbwa ambaye ana akili na simzito kujifunza
NB wakizaa naomba mbegu mimi nina GS dume tu natafuta jike

Anony june 16 mbegu hizi zipo karibu zote ila upatikanaji wake sio rahisi sana na wafugaji wengi hupendelea zaidi german shepherd kama unahitaji aina fulani ya mbwa hawa tuwasiliane nikutafutie lakini unipe muda

Salua said...

Bennet ushauri wa kuku uko kwenye tarehe ngapi ninahitaji kujifunza pia. Naomba unitapatie ushauri kuhusu bata hasa aina ya geese duck ninao nawafuga ila sijui namana ya kuwatunza vema wala sijui tabia zao ninao watatu dume mmoja kwa bahati jike moja lilitaga na tulilazia mayai lakini hakutotoa, sasa amaetaga tena nahisi mara ya kwanza alikuwa hakupandwa ndiomaana hayakuwa na mbegu. tafadhali nipe uelewa kuhusu aina hiyo ya mabata tafadhali kaka Ben.

karim kim said...

mimi naitwa karim natumaini yu mzima
wa afya nilikuwa na swali mimi nina mbwa watatu ila si wakali kabisa nifanyeje ili wawe wakali?

karim kim said...

Mimi naitwa karim nina swali moja tu nina mbwa wawili ila so wakali kabisa nifanyeje ili wawe wakali?naomba ushauri wako

Unknown said...

Na ni bei gani Hawa German shepherded wadogo?

Mubaarak Abdullah said...

Habari Mimi Nina shida Na mbwa German Shepherded lakini nataka awe ameshafundishwa kila kitu je aatambulishwa kwangu ili ajue Mimi ndio mmiliki wake Na asinidhuru, asante

Mubaarak Abdullah said...

Habari Mimi Nina shida Na mbwa German Shepherded lakini nataka awe ameshafundishwa kila kitu je aatambulishwa kwangu ili ajue Mimi ndio mmiliki wake Na asinidhuru, asante

Unknown said...

Enter your comment...napenda hao german shefeld but nawaogopaaaaa n wakubw sana