KURASA

Tuesday, July 6, 2010

WAKALA WA MBEGU ZA MITI NA SABA SABA

Kwa wale wanaohitaji mbegu za miti au miche kutoka kwa wakala wa mbegu za miti wa Taifa, mnaweza kuzipata sabasaba kwenye banda la maliasili badala ya kuzifuta mbegu au miche kule morogoro, wana mbegu nyingi na miche ya aina mbali mbali















7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! natamani ningekuwa huko leo ningeinunu hiyo mikangazi!

Salua said...

Mh! hata mimi yasinta. Asante bennet sisi hatuko huko ila umetuunganisha

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Kaka B, mipingo inaota maeneo gani (hali ya hewa)?

Mikangazi inatumikaje?

Duh!

chib said...

Nimeshapata mahali pa kwenda kununua mbegu. Ahsante kwa kutuhabarisha

Translation and Interpretation Bureau said...

Hello brother Ben,

Nashukuru mno kwa taarifa na maarifa unaotulisha. Big up sana brother.
Ahsante nilikuwa natafuta sehemu ya kupata kuku wa kufuga nimeshapata kupitia blog yako na nina amini pia nitapata ushauri kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji toka MUVEK au kwako.
Naomba ushauri wako kuhusu upandaji wa miti ya mbao hasa aina ya mitiki na sylviculture.
Na pia contact za wakala wa mbegu tanzania ikiwezekana pia simu yako.

Livin Matabaro,
Tel. 000255 755 462970

Salim said...

Nahitaji kujua huduma ya vipimo vya udongo na ushauri wa kitaalamu wa miti kama naweza kuvipata eneo la Kongowe. Nataka kupanda Misedera (Spanish Cedar) Cedrela odorata L. pamoja na mikangazi (African Mahogany)Khaya anthotheca

Unknown said...

Nahitaji kupata miche ya nyanya chungu na pilipili mbuzi