KURASA

Monday, April 2, 2012

HALI YA KILIMO ILIVYO SASA MKOANI SINGIDA

Hawa ni wale ambao walifuata ushauri wa kitaalam ikiwamo aina ya mbegu, utabiri wa kiasi cha mvua inayotegemewa kunyesha, muda wa upandaji na matumizi sahihi ya mbolea

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

kaka Bennet ulipotea kweli karibu tena nimetamani hicho kilimo uwe salama!!