KURASA

Tuesday, October 1, 2013

FARASI WANAUZWA - HORSES FOR SALE

 
 Jumla kuna farasi watano, wote bado vijana hakuna aliyezeeka, 1. jike mweusi wa miaka minne ana mimba bei Tsh 5,500,000/=  2. jike mweupe wa miaka miwili Tsh 4,200,000/= 3. Jike wa miaka miwili rangi ya hudhurungi isiyokooza bei Tsh 4,200,000/= 4. Dume wa miaka miwili rangi ya kahawia bei Tsh 4,200,000/= kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 786 763 265


 
5 Young horses for sale. 1. Black pregnant female 4 years old. - 5, 500, 000 TSHS 2. White female horse 2 years old. 3. Greyish white male for sale 2 years old. 4. A light brown mixed white foal of 2 months Contact: : +255 786 763 265 All others are for $2500 0r 4, 200 000 Tsh

5 comments:

Unknown said...

Nimewapenda mno mno

Unknown said...

Nice horses,I would like to have one

Artfuldoja said...

Bado unajua wapi wanapatikana?

Unknown said...

Nahitaji wawili

Unknown said...

Mambo vipi farasi dume na jike kwa sasa wauza shingapi?