KURASA

Tuesday, August 13, 2013

BLOG AWARDS 2013Wasomaji wa blog hii ya mitiki-kilimo kwanza, mwaka huu pia blog hii itashiriki kwenye kutafuta blog bora za mwaka 2013 kupitia  http://tanzanianblogawards.blogspot.com/ blog hii itaomba kushiriki kwenye vipengele viwili vya Best AgricultureBlog na Best Educational Blog. 


 Mkumbuke blog hii kwa mwaka 2012 ndio ilikuwa blog bora kwenye kipengele cha Best Educational Blog, kwa mwaka huu upigajikura utaanza September 1 mpaka September 7 2013 kwa wale wanaoamini hii ni blog bora kwenye vipengele itakavyochaguliwa, nitawaomba watembelee linki hii hapa chini na kupiga kura zao. Aksante

http://tanzanianblogawards.blogspot.com
  

No comments: